Diamond: Nikiwa natoa nyimbo, siwazi redio na TV kama sehemu ya promotion - MWANAHARAKATI BLOG

MWANAHARAKATI BLOG

Blog About Academics, Notes, Syllabus, Jobs, Music, sports and games

Search Here

Post Top Ad

Thursday 9 March 2017

Diamond: Nikiwa natoa nyimbo, siwazi redio na TV kama sehemu ya promotion






  1. Diamond Platnumz amesema kwa sasa redio na TV si vyombo anavyovitegemea sana kwaajili ya promotion pindi anapokuwa akiachia nyimbo.
    “Mimi nikiwa natoa nyimbo yangu, promotion yangu siwazi redio wala siwazi TV, ever. Promotion yangu ya kwanza mimi nawaza nyimbo iwafikiaje watu, kuna mitandao ya kijamii, kuna digital platform nyingi,” staa huyo alisema kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz.
    Alidai kuwa zama za kundi Fulani la watu likiamua kumrudisha nyuma msanii, halipo tena kwa wasanii wenye nguvu kama yeye.
    “Tufute zile ‘naweza nikamdhuru mtu fulani ninavyotaka mimi’ vile vitu havipo tena,” aliongeza.

    Jiunge na MWanahara.blogspot.com sasa

    Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,   ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga nasi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages